Exodus 26:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upande wa kaskazini wa hema, utatengeneza mbao ishirini,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu upande wa kaskazini wa Maskani, tengeneza mihimili ishirini
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na upande wa pili wa maskani, upande wa kaskazini, mbao ishirini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upande wa kaskazini wa hema, utatengeneza mbao ishirini,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhusu upande mwingine, yaani upande wa kaskazini wa Hema, tengeneza mihimili ishirini
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhusu upande wa kaskazini wa maskani, tengeneza mihimili ishirini
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na upande wa pili wa maskani, upande wa kaskazini, mbao ishirini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upande wa kaskazini wa hema, utatengeneza mbao ishirini,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata upande wa pili wa kao, ndio upande wa kaskazini vilevile mbao ishirini
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na upande wa pili wa maskani, upande wa kaskazini, mbao ishirini;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upande wa kaskazini wa hema, utatengeneza mbao makumi mbili,