Exodus 26:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa upande wa nyuma, ulio magharibi ya hema, utatengeneza mbao sita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha tengeneza mihimili sita kwa mwisho ulio mbali, yaani upande wa magharibi wa Maskani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha ufanye mbao sita kwa ajili ya upande wa nyuma wa maskani kuelekea magharibi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa upande wa nyuma, ulio magharibi ya hema, utatengeneza mbao sita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha tengeneza mihimili sita kwa kila mwisho, yaani, upande wa magharibi wa Hema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha tengeneza mihimili sita kwa mwisho ulio mbali, yaani upande wa magharibi wa maskani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha ufanye mbao sita kwa ajili ya upande wa nyuma wa maskani kuelekea magharibi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa upande wa nyuma, ulio magharibi ya hema, utatengeneza mbao sita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini upande wa nyuma wa kao unaoelekea baharini uutengenezee mbao sita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha ufanye mbao sita kwa ajili ya upande wa nyuma wa maskani kuelekea magharibi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa upande wa nyuma, unaokuwa kwa upande wa magaribi wa hema, utatengeneza mbao sita.