Exodus 26:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utatengeneza pia mbao mbili kwa ajili ya pembe za hema upande wake wa nyuma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na pia utengeneze mihimili miwili ya pembe za upande ulio mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena ufanye mbao mbili kwa ajili ya hizo pembe za maskani zilizo upande wa nyuma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utatengeneza pia mbao mbili kwa ajili ya pembe za hema upande wake wa nyuma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pia utengeneze mihimili miwili ya pembe za mwishoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na pia utengeneze mihimili miwili ya pembe za upande ulio mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena ufanye mbao mbili kwa ajili ya hizo pembe za maskani zilizo upande wa nyuma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utatengeneza pia mbao mbili kwa ajili ya pembe za hema upande wake wa nyuma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena utengeneze mbao mbili za pembeni mle kaoni upande wa nyuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena ufanye mbao mbili kwa ajili ya hizo pembe za maskani zilizo upande wa nyuma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatengeneza vilevile mbao mbili kwa ajili ya pembe za hema upande wake wa nyuma.