Exodus 26:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbao hizo za pembeni ziachane chini lakini zishikamanishwe kwa juu kwenye pete ya kwanza. Mbao zote za pembeni zifanywe vivyo hivyo ili zifanye pembe mbili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika pembe hizi mbili ni lazima mihimili yake iwe miwili kuanzia chini hadi juu, na iingizwe kwenye pete moja; mihimili ya pembe hizi mbili itafanana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Upande wa chini zitakuwa ni mbili mbili; vivyo zitaungwa pamoja mbao pacha hata ncha ya juu katika pete ya kwanza; zote mbili ndivyo zitakavyokuwa; zitakuwa kwa ajili ya hizo pembe mbili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbao hizo za pembeni ziachane chini lakini zishikamanishwe kwa juu kwenye pete ya kwanza. Mbao zote za pembeni zifanywe vivyo hivyo ili zifanye pembe mbili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika pembe hizi mbili ni lazima mihimili iwe miwili kuanzia chini mpaka juu na kushikizwa kwenye pete moja, yote miwili itafanana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika pembe hizi mbili ni lazima mihimili yake iwe miwili kuanzia chini mpaka juu, na iingizwe kwenye pete moja; mihimili ya pembe hizi mbili itafanana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Upande wa chini zitakuwa ni mbili mbili; vivyo hivyo zitaunganishwa pamoja mbao pacha hata ncha ya juu katika pete ya kwanza; zote mbili ndivyo zitakavyokuwa; zitakuwa kwa ajili ya hizo pembe mbili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbao hizo za pembeni ziachane chini lakini zishikamanishwe kwa juu kwenye pete ya kwanza. Mbao zote za pembeni zifanywe vivyo hivyo ili zifanye pembe mbili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo ziwe kama pacha, toka chini viendelee pamoja zote nzima mpaka juu penye pete la kwanza. Hivi ndivyo, zitakavyokuwa mbao zote mbili za hizo pembe mbili za nyuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Upande wa chini zitakuwa ni mbili mbili; vivyo zitaungwa pamoja mbao pacha hata ncha ya juu katika pete ya kwanza; zote mbili ndivyo zitakavyokuwa; zitakuwa kwa ajili ya hizo pembe mbili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbao zile za pembeni ziachane chini lakini zishikamanishwe kwa juu kwenye pete ya kwanza. Mbao zote za pembeni zifanywe vile vile kusudi zifanye pembe mbili.