Exodus 26:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na pau tano kwa ajili ya upande wa pili wa hema, na pau tano kwa ajili ya mbao za upande wa nyuma wa hema, ulio magharibi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
matano kwa ajili ya mihimili ya upande mwingine, na matano kwa ajili ya mihimili ya upande wa magharibi, mwisho kabisa mwa Maskani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mataruma matano kwa ajili ya mbao za upande wa pili wa maskani, na mataruma matano kwa ajili ya mbao za upande wa maskani ulio nyuma kuelekea magharibi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na pau tano kwa ajili ya upande wa pili wa hema, na pau tano kwa ajili ya mbao za upande wa nyuma wa hema, ulio magharibi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
tano kwa ajili ya mihimili ya upande mwingine, na tano kwa ajili ya mihimili ya upande wa magharibi, mwishoni kabisa mwa Hema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
matano kwa ajili ya mihimili ya upande mwingine, na matano kwa ajili ya mihimili ya upande wa magharibi, mwisho kabisa mwa maskani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mataruma matano kwa ajili ya mbao za upande wa pili wa maskani, na mataruma matano kwa ajili ya mbao za upande wa maskani ulio nyuma kuelekea magharibi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na pau tano kwa ajili ya upande wa pili wa hema, na pau tano kwa ajili ya mbao za upande wa nyuma wa hema, ulio magharibi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena misunguo mitano ya mbao za upande wa pili wa kao, tena misunguo mitano ya upande wa nyuma wa kao unaoelekea baharini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mataruma matano kwa ajili ya mbao za upande wa pili wa maskani, na mataruma matano kwa ajili ya mbao za upande wa maskani ulio nyuma kuelekea magharibi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na miti tano kwa ajili ya upande wa pili wa hema, na miti tano kwa ajili ya mbao za upande wa nyuma wa hema, kwa upande wa magaribi.