Exodus 26:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upau wa katikati uliofika nusu ya jengo la hema utapenya katikati toka mwisho huu hadi mwisho mwingine wa hema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Taruma la katikati litapenya katikati ya mihimili kutoka mwisho mmoja hadi mwisho mwingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hilo taruma la katikati, lililo katikati ya zile mbao litapenya toka mwisho huu hata mwisho huu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upau wa katikati uliofika nusu ya jengo la hema utapenya katikati toka mwisho huu hadi mwisho mwingine wa hema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ufito wa katikati utapenya toka mwisho huu hadi mwisho mwingine katikati ya mihimili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Taruma la katikati litapenya katikati ya mihimili kutoka mwisho mmoja hadi mwisho mwingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hilo taruma la katikati, lililo katikati ya zile mbao litapenya toka mwisho huu hata mwisho huu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upau wa katikati uliofika nusu ya jengo la hema utapenya katikati toka mwisho huu hadi mwisho mwingine wa hema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao msunguo wa katikati ulio katikati ya mbao uupitishe toka mwisho wa huku hata mwisho wa huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hilo taruma la katikati, lililo katikati ya zile mbao litapenya toka mwisho huu hata mwisho huu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muti wa katikati uliofika nusu ya jengo la hema utapenya katikati toka mwisho huu mpaka mwisho mwingine wa hema.