Exodus 26:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbao zote utazipaka dhahabu na kuzifanyia pete za dhahabu zitakazoshikilia hizo pau, ambazo pia utazipaka dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Funika hiyo mihimili kwa dhahabu, kisha tengeneza pete za dhahabu ambazo zitashikilia hayo mataruma. Pia funika hayo mataruma kwa dhahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hizo mbao utazifunika dhahabu, na pete zake za kutilia yale mataruma utazifanya za dhahabu; na hayo mataruma utayafunika dhahabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbao zote utazipaka dhahabu na kuzifanyia pete za dhahabu zitakazoshikilia hizo pau, ambazo pia utazipaka dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Funika hiyo mihimili kwa dhahabu, kisha tengeneza pete za dhahabu ambazo zitashikilia hizo fito. Pia funika fito hizo kwa dhahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Funika hiyo mihimili kwa dhahabu, kisha tengeneza pete za dhahabu ambazo zitashikilia hayo mataruma. Pia funika hayo mataruma kwa dhahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hizo mbao utazifunika dhahabu, na pete zake za kutilia yale mataruma utazifanya za dhahabu; na hayo mataruma utayafunika dhahabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbao zote utazipaka dhahabu na kuzifanyia pete za dhahabu zitakazoshikilia hizo pau, ambazo pia utazipaka dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo mbao uzifunikize dhahabu, nayo mapete yao uyatengeneze kwa dhahabu, yawe ya kutilia misunguo, nayo misunguo uifunikize dhahabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hizo mbao utazifunika dhahabu, na pete zake za kutilia yale mataruma utazifanya za dhahabu; na hayo mataruma utayafunika dhahabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbao zote utazipakaa zahabu na kuzifanyia pete za zahabu zitakazoshikilia ile miti, ambazo vilevile utazipakaa zahabu.