Exodus 26:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo utalitengeneza hema hilo kulingana na mfano niliokuonesha mlimani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Simamisha maskani ya Mungu sawasawa na mfano uliooneshwa kule mlimani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utaisimamisha hiyo maskani sawasawa na mfano wake ulioonyeshwa mlimani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo utalitengeneza hema hilo kulingana na mfano niliokuonesha mlimani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Simamisha Hema sawasawa na ramani uliyoonyeshwa kule juu mlimani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Simamisha Hema sawasawa na mfano ulioonyeshwa kule mlimani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utaisimamisha hiyo maskani sawasawa na mfano wake uliooneshwa mlimani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo utalitengeneza hema hilo kulingana na mfano niliokuonesha mlimani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha ulisimamishe hilo kao, liwe kama mfano ule ulioonyeshwa mlimani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utaisimamisha hiyo maskani sawasawa na mfano wake ulioonyeshwa mlimani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo utalitengeneza hema hilo kulingana na mufano niliokuonyesha juu ya mulima.