Exodus 26:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndani ya mahali patakatifu utakiweka kile kiti cha rehema juu ya sanduku la maamuzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Weka kifuniko cha kiti cha rehema juu ya Sanduku la Ushuhuda ndani ya Patakatifu pa Patakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utaweka kiti cha rehema juu ya lile sanduku la ushuhuda ndani ya mahali pale patakatifu sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndani ya mahali patakatifu utakiweka kile kiti cha rehema juu ya sanduku la maamuzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Weka kifuniko cha kiti cha rehema juu ya Sanduku la Ushuhuda ndani ya mahali Patakatifu pa Patakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Weka kifuniko cha kiti cha rehema juu ya Sanduku la Ushuhuda ndani ya Patakatifu pa Patakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utaweka kiti cha rehema juu ya lile sanduku la ushuhuda ndani ya mahali pale patakatifu sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndani ya mahali patakatifu utakiweka kile kiti cha rehema juu ya sanduku la maamuzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha ukiweke kile kifuniko (Kiti cha Upozi) juu ya Sanduku la Ushahidi pale Patakatifu Penyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utaweka kiti cha rehema juu ya lile sanduku la ushuhuda ndani ya mahali pale patakatifu sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndani ya Pahali Patakatifu utaweka kile kiti cha rehema juu ya Sanduku la Agano.