Exodus 26:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utatia vitanzi hamsini katika pazia moja na vitanzi vingine hamsini kwenye utepe wa pazia la pili; vitanzi vyote vielekeane.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fanya vitanzi hamsini katika pazia mmoja, na vitanzi vingine hamsini kwenye pazia la mwisho la fungu hilo lingine, navyo vitanzi vyote vielekeane.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fanya matanzi hamsini katika pazia moja, na matanzi hamsini katika upande wa mwisho wa ile pazia iliyo katika kuungana kwa pili; hizo tanzi zitaelekeana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utatia vitanzi hamsini katika pazia moja na vitanzi vingine hamsini kwenye utepe wa pazia la pili; vitanzi vyote vielekeane.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fanya vitanzi hamsini katika pazia la mwisho la kipande cha kwanza na vitanzi hamsini vingine kwenye pazia la mwisho la kipande cha pili, vitanzi vyote vielekeane.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fanya vitanzi hamsini katika pazia mmoja, na vitanzi vingine hamsini kwenye pazia la mwisho la fungu hilo lingine, nazo vitanzi vyote vielekeane.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fanya matanzi hamsini katika pazia moja, na matanzi hamsini katika upande wa mwisho wa ile pazia iliyo katika kuungana kwa pili; hizo tanzi zitaelekeana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utatia vitanzi hamsini katika pazia moja na vitanzi vingine hamsini kwenye utepe wa pazia la pili; vitanzi vyote vielekeane.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
sharti ushone vitanzi hamsini katika kila pazia moja upande mmoja, na tena vitanzi hamsini katika upindo wa kila pazia la pili upande huo utakaoungwa na pazia la kwanza, hivyo vitanzi vielekeane kila moja na mwenzake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fanya matanzi hamsini katika pazia moja, na matanzi hamsini katika upande wa mwisho wa ile pazia iliyo katika kuungana kwa pili; hizo tanzi zitaelekeana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatia kamba makumi tano katika pazia moja na kamba zingine makuni tano kwenye utepe wa pazia la pili, kamba zote zielekeane.