Exodus 26:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha utatengeneza kulabu hamsini za dhahabu ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia, hivyo hema litakuwa kitu kimoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha tengeneza vifungo hamsini vya dhahabu ili vitumike kufunga na kuunganisha mapazia pamoja kufanya maskani ya Mungu iwe kitu kimoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha ufanye vifungo hamsini vya dhahabu, na kuunganya hayo mapazia pamoja kwa vile vifungo; na hiyo maskani itakuwa ni moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha utatengeneza kulabu hamsini za dhahabu ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia, hivyo hema litakuwa kitu kimoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha tengeneza kulabu hamsini za dhahabu ili kukaza mapazia pamoja kufanya Hema liwe moja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha tengeneza vifungo hamsini vya dhahabu ili vitumike kufunga na kuunganisha mapazia pamoja kufanya Hema liwe kitu kimoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha ufanye vifungo hamsini vya dhahabu, na kuunganisha hayo mapazia pamoja kwa vile vifungo; na hiyo maskani itakuwa ni moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha utatengeneza kulabu hamsini za dhahabu ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia, hivyo hema litakuwa kitu kimoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha ufanye vifungo vya dhahabu hamsini, upate kuyafunga mapazia kila moja na mwenzake kwa hiyo vifungo, kao hilo liwe moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha ufanye vifungo hamsini vya dhahabu, na kuunganya hayo mapazia pamoja kwa vile vifungo; na hiyo maskani itakuwa ni moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha utatengeneza vifungio makumi tano vya zahabu kwa kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia, hivyo hema litakuwa kitu kimoja.