Exodus 26:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Pia utatengeneza kifuniko cha hema kwa mapazia kumi na moja ya manyoya ya mbuzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika Maskani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe fanya mapazia ya singa za mbuzi yawe hema juu ya maskani; fanya mapazia kumi na moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Pia utatengeneza kifuniko cha hema kwa mapazia kumi na moja ya manyoya ya mbuzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika Hema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika maskani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe fanya mapazia ya singa za mbuzi yawe hema juu ya maskani; fanya mapazia kumi na moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Pia utatengeneza kifuniko cha hema kwa mapazia kumi na moja ya manyoya ya mbuzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha ufanye mapazia ya nywele za mbuzi kuwa hema juu ya kao lenyewe. Utengeneze mapazia kumi na moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe fanya mapazia ya singa za mbuzi yawe hema juu ya maskani; fanya mapazia kumi na moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile utatengeneza kifuniko cha hema kwa mapazia kumi na moja ya manyoya ya mbuzi.