Exodus 26:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila pazia litakuwa na urefu wa mita 13, na upana wa mita 2. Mapazia yote hayo 11 yatakuwa na kipimo kilekile.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mapazia hayo kumi na moja yatakuwa na kipimo sawa, yaani urefu wa dhiraa thelathini, na upana wa dhiraa nne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Urefu wa kila pazia utakuwa dhiraa thelathini, na upana wa kila pazia utakuwa dhiraa nne; hayo mapazia kumi na moja yatakuwa ya kipimo kimoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila pazia litakuwa na urefu wa mita 13, na upana wa mita 2. Mapazia yote hayo 11 yatakuwa na kipimo kilekile.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mapazia hayo kumi na moja yatakuwa na kipimo cha aina moja. Kila pazia litakuwa na urefu wa dhiraa thelathini na tatu na upana wa dhiraa nne.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mapazia hayo kumi na moja yatakuwa na kipimo kimoja, yaani urefu wa dhiraa thelathini, na upana wa dhiraa nne.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Urefu wa kila pazia utakuwa dhiraa thelathini, na upana wa kila pazia utakuwa dhiraa nne; hayo mapazia kumi na moja yatakuwa ya kipimo kimoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila pazia litakuwa na urefu wa mita 13, na upana wa mita 2. Mapazia yote hayo 11 yatakuwa na kipimo kilekile.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Urefu wa kila pazia uwe mikono thelathini, nao upana wa kila pazia moja moja uwe mikono minne; hiki kipimo kimoja kiwe chao mapazia yote kumi na moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Urefu wa kila pazia utakuwa dhiraa thelathini, na upana wa kila pazia utakuwa dhiraa nne; hayo mapazia kumi na moja yatakuwa ya kipimo kimoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila pazia litakuwa na urefu wa metre kumi na tatu na upana wa metre mbili. Mapazia yote yale kumi na moja yatakuwa na kipimo kilekile.