Exodus 26:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utaunga mapazia matano pamoja, na mapazia sita pamoja. Pazia la sita utalikunja mara mbili mbele ya hema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unganisha hayo mapazia matano yawe fungu moja, na hayo mengine sita yawe fungu lingine. Kunja hilo pazia la sita mara mbili mbele ya Maskani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha utaunganya mapazia matano mbali, na mapazia sita mbali, na lile pazia la sita utalipeta hapo upande wa mbele wa ile hema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utaunga mapazia matano pamoja, na mapazia sita pamoja. Pazia la sita utalikunja mara mbili mbele ya hema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unganisha hayo mapazia matano pamoja na hayo mengine sita pamoja. Kunja hilo pazia la sita mara mbili mbele ya Hema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unganisha hayo mapazia matano yawe fungu moja, na hayo mengine sita yawe fungu lingine. Kunja hilo pazia la sita mara mbili mbele ya maskani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha utaunganisha mapazia matano mbali, na mapazia sita mbali, na lile pazia la sita utalikunja hapo upande wa mbele wa ile hema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utaunga mapazia matano pamoja, na mapazia sita pamoja. Pazia la sita utalikunja mara mbili mbele ya hema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha uyaunge mapazia matano kuwa moja, nayo yale sita uyaunge kuwa moja, ukilikunja hilo pazia la sita kuwili hapo mbele ya hema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha utaunganya mapazia matano mbali, na mapazia sita mbali, na lile pazia la sita utalipeta hapo upande wa mbele wa ile hema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utaunga mapazia matano pamoja na mapazia sita pamoja. Pazia la sita utalikunja mara mbili mbele ya hema.