Exodus 27:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upande wa magharibi wa ua utakuwa na chandarua chenye urefu wa mita 22, na nguzo zake 10 na vikalio vyake 10.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Upande wa magharibi wa ua utakuwa na upana wa dhiraa hamsini, nao utakuwa na mapazia, na nguzo kumi na vitako vyake kumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na upande wa magharibi, upana wa ua kutakuwa na chandarua ya dhiraa hamsini; nguzo zake kumi, na matako yake kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upande wa magharibi wa ua utakuwa na chandarua chenye urefu wa mita 22, na nguzo zake 10 na vikalio vyake 10.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Upande wa magharibi wa ua wa kukutania utakuwa na upana wa dhiraa hamsini, nao utakuwa na mapazia na nguzo zake kumi na vitako vyake kumi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Upande wa magharibi wa ua utakuwa na upana wa dhiraa hamsini, nao utakuwa na mapazia, na nguzo kumi na vitako vyake kumi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na upande wa magharibi, upana wa ua kutakuwa na chandarua ya dhiraa hamsini; nguzo zake kumi, na vitako vyake kumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upande wa magharibi wa ua utakuwa na chandarua chenye urefu wa mita 22, na nguzo zake 10 na vikalio vyake 10.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao upande wa ua unaoelekea baharini uwe wenye nguo ya mikono hamsini na nguzo zake ziwe kumi zenye miguu yao ya shaba kumi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na upande wa magharibi, upana wa ua kutakuwa na chandarua ya dhiraa hamsini; nguzo zake kumi, na matako yake kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upande wa magaribi wa kiwanja utakuwa na nguo yenye urefu wa metre makumi mbili na mbili na nguzo zake kumi na vikalio vyake kumi.