Exodus 27:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upande wa mashariki kuliko na mlango, ua utakuwa na upana wa mita 22.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Upande wa mwisho wa mashariki jua linakochomoza, ua pia utakuwa na upana wa dhiraa hamsini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na upana wa ule ua upande wa mashariki kuelekea mashariki utakuwa ni dhiraa hamsini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upande wa mashariki kuliko na mlango, ua utakuwa na upana wa mita 22.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Upande wa mwisho wa mashariki jua linakotokea, ua wa mkutano utakuwa na upana wa dhiraa hamsini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Upande wa mwisho wa mashariki jua linakochomoza, ua pia utakuwa na upana wa dhiraa hamsini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na upana wa ule ua upande wa mashariki kuelekea mashariki utakuwa ni dhiraa hamsini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upande wa mashariki kuliko na mlango, ua utakuwa na upana wa mita 22.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao upana wa upande wa maawioni kwa jua uwe mikono hamsini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na upana wa ule ua upande wa mashariki kuelekea mashariki utakuwa ni dhiraa hamsini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upande wa mashariki kunakokuwa mulango, kiwanja kitakuwa na upana wa metre makumi mbili na mbili.