Exodus 27:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chandarua cha upande mmoja wa mlango kitakuwa na upana wa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano yatakuwa upande mmoja wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Chandarua upande mmoja wa lango itakuwa dhiraa kumi na tano upana wake; nguzo zake zitakuwa tatu na matako yake matatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chandarua cha upande mmoja wa mlango kitakuwa na upana wa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano ambayo yatakuwa upande mmoja wa lango, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano yatakuwa upande mmoja wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Chandarua upande mmoja wa lango itakuwa dhiraa kumi na tano upana wake; nguzo zake zitakuwa tatu na vitako vyake vitatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chandarua cha upande mmoja wa mlango kitakuwa na upana wa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nguo yake upande wa huku iwe ya mikono kumi na mitano, nazo nguzo zake ziwe tatu zenye miguu ya shaba mitatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Chandarua upande mmoja wa lango itakuwa dhiraa kumi na tano upana wake; nguzo zake zitakuwa tatu na matako yake matatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nguo ya upande mumoja wa mulango itakuwa na upana wa metre sita na nusu, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu.