Exodus 27:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vilevile katika upande wa pili wa mlango chandarua kitakuwa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutakuwa na mapazia ya dhiraa kumi na tano kwa upande mwingine wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Upande wa pili ni vivyo chandarua ya dhiraa kumi na tano; nguzo zake tatu, na matako yake matatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vilevile katika upande wa pili wa mlango chandarua kitakuwa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutakuwepo tena na mapazia ya dhiraa kumi na tano kwa upande mwingine wa mlango, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutakuwepo tena na mapazia ya dhiraa kumi na tano kwa upande mwingine wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Upande wa pili ni vivyo hivyo chandarua ya dhiraa kumi na tano; nguzo zake tatu, na vitako vyake vitatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vilevile katika upande wa pili wa mlango chandarua kitakuwa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao upande wa huko nguo yake iwe ya mikono kumi na mitano, nazo nguzo zake ziwe tatu zenye miguu yao ya shaba mitatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Upande wa pili ni vivyo chandarua ya dhiraa kumi na tano; nguzo zake tatu, na matako yake matatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile katika upande wa pili wa mulango nguo itakuwa metre sita na nusu, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu.