Exodus 27:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nguzo zote kuuzunguka ua zitashikamanishwa kwa fito za fedha, kulabu zake zitakuwa za fedha na vikalio vyake vitakuwa vya shaba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nguzo zote zinazozunguka ua zitakuwa na tepe na kulabu za fedha, na vitako vya shaba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nguzo zote za ule ua ziuzungukazo pande zote zitakuwa na vitanzi vya fedha; kulabu zake za fedha, na matako yake ya shaba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nguzo zote kuuzunguka ua zitashikamanishwa kwa fito za fedha, kulabu zake zitakuwa za fedha na vikalio vyake vitakuwa vya shaba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nguzo zote zinazozunguka ua wa kukutania zitakuwa na tepe na kulabu za fedha, na vitako vya shaba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nguzo zote zinazozunguka ua zitakuwa na tepe na kulabu za fedha, na vitako vya shaba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nguzo zote za ule ua ziuzungukao pande zote zitakuwa na vitanzi vya fedha; kulabu zake za fedha, na vitako vyake vya shaba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nguzo zote kuuzunguka ua zitashikamanishwa kwa fito za fedha, kulabu zake zitakuwa za fedha na vikalio vyake vitakuwa vya shaba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nguzo zote zinazouzunguka ua ziwe zimeungwa kwa vijiti vya fedha, navyo vifungo vyao viwe vya fedha, lakini miguu yao iwe ya shaba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nguzo zote za ule ua ziuzungukazo pande zote zitakuwa na vitanzi vya fedha; kulabu zake za fedha, na matako yake ya shaba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nguzo zote kuzunguka kiwanja zitashikamanishwa kwa fito za feza. Vifungio vyake vitakuwa vya feza na vikalio vyake vitakuwa vya shaba.