Exodus 27:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ua huo utakuwa na urefu wa mita 44, upana wa mita 22, na kimo cha mita 2.25. Vyandarua vyake vitakuwa vya kitani safi na vikalio vyake vya shaba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ua utakuwa na urefu wa dhiraa mia moja na upana wa dhiraa hamsini, ukiwa na mapazia ya kitani yaliyosokotwa vizuri yenye urefu wa dhiraa tano kwenda juu na vitako vya shaba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Urefu wa huo ua utakuwa dhiraa mia, na upana wake utakuwa dhiraa hamsini kotekote, na kwenda juu kwake dhiraa tano; yawe ya nguo ya kitani nzuri, na matako yake yatakuwa ya shaba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ua huo utakuwa na urefu wa mita 44, upana wa mita 22, na kimo cha mita 2.25. Vyandarua vyake vitakuwa vya kitani safi na vikalio vyake vya shaba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ua wa kukutania utakuwa na urefu wa dhiraa mia moja na upana wa dhiraa hamsini, ukiwa na mapazia ya kitani yaliyosokotwa vizuri yenye urefu wa dhiraa tano kwenda juu na vitako vya shaba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ua wa kukutania utakuwa na urefu wa dhiraa mia moja na upana wa dhiraa hamsini, ukiwa na mapazia ya kitani yaliyosokotwa vizuri yenye urefu wa dhiraa tano kwenda juu na vitako vya shaba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Urefu wa huo ua utakuwa dhiraa mia moja, na upana wake utakuwa dhiraa hamsini kotekote, na kwenda juu kwake dhiraa tano; yawe ya nguo ya kitani nzuri, na vitako vyake vitakuwa vya shaba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ua huo utakuwa na urefu wa mita 44, upana wa mita 22, na kimo cha mita 2.25. Vyandarua vyake vitakuwa vya kitani safi na vikalio vyake vya shaba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Urefu wa ua uwe mikono mia, nao upana mikono hamsini, nao urefu wa kwenda juu mikono mitano. Nguo yake iwe ya bafta ngumu, nayo miguu yake iwe ya shaba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Urefu wa huo ua utakuwa dhiraa mia, na upana wake utakuwa dhiraa hamsini kotekote, na kwenda juu kwake dhiraa tano; yawe ya nguo ya kitani nzuri, na matako yake yatakuwa ya shaba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kiwanja kile kitakuwa na urefu wa metre makumi ine na ine, upana wa metre makumi mbili na mbili, na urefu kwenda juu wa metre mbili na sentimetre makumi mbili. Nguo zake zitakuwa za kitani safi na vikalio vyake vya shaba.