Exodus 27:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vyombo vyote vya hema takatifu vya matumizi ya kila aina, pamoja na vigingi vyote na hata vile vya ua vitakuwa vya shaba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vyombo vingine vyote vinavyotumika katika maskani ya Mungu kwa shughuli yoyote, pamoja na vigingi vyote na hata vile vya ua, vitakuwa vya shaba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vyombo vyote vya maskani vitumiwavyo katika utumishi wake wote, na vigingi vyake vyote, na vigingi vyote vya ule ua, vitakuwa vya shaba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vyombo vyote vya hema takatifu vya matumizi ya kila aina, pamoja na vigingi vyote na hata vile vya ua vitakuwa vya shaba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vyombo vingine vyote vinavyotumika katika Maskani kwa shughuli yo yote, pamoja na vigingi vyote, na hata vile vya ua wa kukutania vitakuwa vya shaba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vyombo vingine vyote vinavyotumika katika maskani kwa shughuli yoyote, pamoja na vigingi vyote na hata vile vya ua, vitakuwa vya shaba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vyombo vyote vya maskani vitumiwavyo katika utumishi wake wote, na vigingi vyake vyote, na vigingi vyote vya ule ua, vitakuwa vya shaba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vyombo vyote vya hema takatifu vya matumizi ya kila aina, pamoja na vigingi vyote na hata vile vya ua vitakuwa vya shaba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo vyombo vyote vya hili kao vinavyotumika kwa kazi yo yote na mambo zake zote nazo mambo za ua ziwe za shaba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vyombo vyote vya maskani vitumiwavyo katika utumishi wake wote, na vigingi vyake vyote, na vigingi vyote vya ule ua, vitakuwa vya shaba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vyombo vyote vya hema takatifu vya matumizi ya kila aina, pamoja na misumari vyote na hata vile vya kiwanja, vitakuwa vya shaba.