Exodus 27:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Utawaamuru Waisraeli wakuletee mafuta safi kwa ajili ya taa, kuwe na taa inayowaka daima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Utawaamuru Waisraeli wakuletee mafuta safi ya zeituni yaliyokamuliwa kwa ajili ya mwanga ili zile taa ziwake mfululizo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe waamuru wana wa Israeli wakuletee mafuta ya zeituni safi ya kupondwa kwa ajili ya nuru, ili kufanya ile taa kuwaka daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Utawaamuru Waisraeli wakuletee mafuta safi kwa ajili ya taa, kuwe na taa inayowaka daima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Utawaamuru Waisraeli wakuletee mafuta safi ya zeituni yaliyokamuliwa kwa ajili ya mwanga ili zile taa ziwake daima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Utawaamuru Waisraeli wakuletee mafuta safi ya zeituni yaliyokamuliwa kwa ajili ya mwanga ili zile taa ziwake mfululizo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe waamuru wana wa Israeli wakuletee mafuta ya zeituni safi ya kupondwa kwa ajili ya nuru, ili kufanya ile taa kuwaka daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Utawaamuru Waisraeli wakuletee mafuta safi kwa ajili ya taa, kuwe na taa inayowaka daima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wewe uwaagize wana wa Isiraeli, wakupatie mafuta ya chekele yaliyotwangwa vema kuwa safi ya kinara ya kutia siku zote katika taa zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe waamuru wana wa Israeli wakuletee mafuta ya zeituni safi ya kupondwa kwa ajili ya nuru, ili kufanya ile taa kuwaka daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utawaamuru Waisraeli wakuletee mafuta safi kwa ajili ya taa, kuwe taa inayowaka siku zote.