Exodus 27:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha utatengeneza wavu wa shaba wenye pete nne za shaba kwenye pembe zake nne.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha tengenezea hayo madhabahu wavu wa shaba, na utengeneze pete za shaba kwenye kila moja ya hizo pembe nne za huo wavu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe uifanyie hiyo madhabahu wavu wa shaba; kisha utie pete nne za shaba katika hizo pembe nne za ule wavu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha utatengeneza wavu wa shaba wenye pete nne za shaba kwenye pembe zake nne.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha itengenezee hiyo madhabahu wavu wa shaba, na utengeneze pete za shaba kwenye kila pembe nne za huo wavu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha tengenezea hayo madhabahu wavu wa shaba, na utengeneze pete za shaba kwenye kila moja ya hizo pembe nne za huo wavu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe uifanyie hiyo madhabahu wavu wa shaba; kisha utie pete nne za shaba katika hizo pembe nne za ule wavu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha utatengeneza wavu wa shaba wenye pete nne za shaba kwenye pembe zake nne.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha utengeneze kikingio kinachofanana na wavu wa shaba, uweke hata mapete manne ya shaba juu ya huo wavu penye pembe zake nne.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe uifanyie hiyo madhabahu wavu wa shaba; kisha utie pete nne za shaba katika hizo pembe nne za ule wavu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha utatengeneza wavu wa shaba wenye pete ine za shaba kwenye pembe zake ine.