Exodus 27:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wavu huo utauweka kwenye ukingo wa madhabahu upande wa chini ili ufike katikati ya madhabahu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Weka wavu huo chini ya ukingo wa madhabahu ili ufikie nusu ya kimo cha madhabahu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe tia huo wavu chini ya kizingo kiizungukacho madhabahu upande wa chini, ili huo wavu ufikilie katikati ya hiyo madhabahu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wavu huo utauweka kwenye ukingo wa madhabahu upande wa chini ili ufike katikati ya madhabahu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Weka wavu huo chini ya ukingo wa madhabahu ili ufike nusu ya kimo cha madhabahu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Weka wavu huo chini ya ukingo wa madhabahu ili ufikie nusu ya kimo cha madhabahu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe tia huo wavu chini ya kizingo kiizungukacho madhabahu upande wa chini, ili huo wavu ufikie katikati ya hiyo madhabahu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wavu huo utauweka kwenye ukingo wa madhabahu upande wa chini ili ufike katikati ya madhabahu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huu wavu uuweke chini ya ukingo wa meza ya kutambikia kuelekea chini, huu wavu ufike hapo mpaka katikati ya meza ya kutambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe tia huo wavu chini ya kizingo kiizungukacho madhabahu upande wa chini, ili huo wavu ufikilie katikati ya hiyo madhabahu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wavu ule utauweka kwenye ukingo wa mazabahu upande wa chini kusudi ufike katikati ya mazabahu.