Exodus 27:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utatengeneza pia mipiko ya mjohoro ya kuibebea madhabahu; nayo utaipaka shaba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tengeneza mipiko ya mti wa mshita kwa ajili ya madhabahu, na uifunike kwa shaba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe fanya miti kwa ajili ya madhabahu, miti ya mshita, na kuifunika shaba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utatengeneza pia mipiko ya mjohoro ya kuibebea madhabahu; nayo utaipaka shaba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tengeneza mipiko ya mti wa mshita kwa ajili ya madhabahu, ifunike kwa shaba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tengeneza mipiko ya mti wa mshita kwa ajili ya madhabahu, na uifunike kwa shaba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe fanya miti kwa ajili ya madhabahu, miti ya mshita, na kuifunika shaba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utatengeneza pia mipiko ya mjohoro ya kuibebea madhabahu; nayo utaipaka shaba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha meza ya kutambikia ifanyizie mipiko, hii mipiko iwe ya migunga, nayo uifunikize shaba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe fanya miti kwa ajili ya madhabahu, miti ya mshita, na kuifunika shaba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatengeneza vilevile miti ya mujohoro ya kubebea mazabahu, nayo utaipakaa shaba.