Exodus 27:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mipiko hiyo itaingizwa kwenye zile pete kila upande wa madhabahu, wakati wa kuibeba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hiyo mipiko itaingizwa kwenye zile pete ili iwe pande mbili za madhabahu inapobebwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hiyo miti itatiwa katika pete, na ile miti itakuwa katika pande mbili za madhabahu, wakati wa kuichukua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mipiko hiyo itaingizwa kwenye zile pete kila upande wa madhabahu, wakati wa kuibeba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hiyo mipiko itaingizwa kwenye zile pete ili iwe katika pande mbili za madhabahu, wakati inapobebwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hiyo mipiko itaingizwa kwenye zile pete ili iwe pande mbili za madhabahu inapobebwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hiyo miti itatiwa katika pete, na ile miti itakuwa katika pande mbili za madhabahu, wakati wa kuichukua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mipiko hiyo itaingizwa kwenye zile pete kila upande wa madhabahu, wakati wa kuibeba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mipiko itiwe katika mapete, hii mipiko iwe pande mbili za meza ya kutambikia, wakiichukua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hiyo miti itatiwa katika pete, na ile miti itakuwa katika pande mbili za madhabahu, wakati wa kuichukua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miti ile itaingizwa kwenye zile pete kila upande wa mazabahu wakati wa kuibeba.