Exodus 27:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utaitengeneza madhabahu kwa mbao, na iwe yenye mvungu ndani, kulingana na mfano niliokuonesha mlimani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tengeneza madhabahu yawe na uvungu ndani yake ukitumia mbao. Utaitengeneza sawasawa na vile ulivyooneshwa mlimani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uifanye ya mbao, yenye mvungu ndani yake; kama ulivyoonyeshwa mlimani, ndivyo watakavyoifanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utaitengeneza madhabahu kwa mbao, na iwe yenye mvungu ndani, kulingana na mfano niliokuonesha mlimani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tengeneza madhabahu iwe na uvungu ndani yake, ukitumia mbao. Utaitengeneza sawasawa na vile ulivyoonyeshwa mlimani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tengeneza madhabahu yawe na uvungu ndani yake ukitumia mbao. Utaitengeneza sawasawa na vile ulivyoonyeshwa mlimani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uifanye ya mbao, yenye mvungu ndani yake; kama ulivyooneshwa mlimani, ndivyo watakavyoifanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utaitengeneza madhabahu kwa mbao, na iwe yenye mvungu ndani, kulingana na mfano niliokuonesha mlimani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uitengeneze kwa mbao, iwe yenye mvungu ndani ulio wazi; kama alivyokuonyesha mlimani, ndivyo waifanye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uifanye ya mbao, yenye mvungu ndani yake; kama ulivyoonyeshwa mlimani, ndivyo watakavyoifanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatengeneza mazabahu kwa mbao, ikuwe wazi ndani, kulingana na mufano niliokuonyesha juu ya mulima.