Exodus 28:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Majina sita katika jiwe la kwanza, na majina sita yaliyobakia katika jiwe la pili; majina yafuatane kadiri ya kuzaliwa kwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kufuatana na walivyozaliwa: majina sita katika kito kimoja, na mengine sita katika kito kingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
majina yao sita katika kito kimoja, na majina sita yaliyosalia katika kile kito cha pili, kwa utaratibu wa kuzaliwa kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Majina sita katika jiwe la kwanza, na majina sita yaliyobakia katika jiwe la pili; majina yafuatane kadiri ya kuzaliwa kwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kufuatana na walivyozaliwa, majina sita katika jiwe moja na mengine sita katika jiwe jingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kufuatana na walivyozaliwa: majina sita katika kito kimoja, na mengine sita katika kito kingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
majina yao sita katika kito kimoja, na majina sita yaliyosalia katika kile kito cha pili, kwa utaratibu wa kuzaliwa kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Majina sita katika jiwe la kwanza, na majina sita yaliyobakia katika jiwe la pili; majina yafuatane kadiri ya kuzaliwa kwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Majina yao sita katika kito kimoja, nayo yale majina sita yaliyosalia katika kito cha pili, kama walivyofuatana kuzaliwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
majina yao sita katika kito kimoja, na majina sita yaliyosalia katika kile kito cha pili, kwa utaratibu wa kuzaliwa kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Majina sita katika jiwe la kwanza, na majina sita yaliyobakia katika jiwe la pili, majina yafuatane kadiri ya kuzaliwa kwao.