Exodus 28:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mawe hayo mawili yatawekwa juu ya kanda za kizibao kama kumbukumbu ya makabila kumi na mawili ya Israeli. Hivyo Aroni atavaa majina hayo mabegani mwake mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu kama ukumbusho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na uvifungie juu ya vipande vya mabega ya kizibau yawe kama vito vya ukumbusho kwa wana wa Israeli. Haruni atavaa majina hayo mabegani mwake kama kumbukumbu mbele za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utavitia vile vito viwili juu ya vipande vya mabegani vya hiyo naivera, viwe vito vya ukumbusho kwa ajili ya wana wa Israeli; naye Haruni atayachukua majina yao mbele za Bwana juu ya mabega yake mawili ili kuwa ukumbusho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mawe hayo mawili yatawekwa juu ya kanda za kizibao kama kumbukumbu ya makabila kumi na mawili ya Israeli. Hivyo Aroni atavaa majina hayo mabegani mwake mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu kama ukumbusho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na uvifungie juu ya vipande vya mabega ya kisibau yawe kama mawe ya kumbukumbu ya wana wa Israeli. Aroni atavaa majina hayo mabegani mwake kama kumbukumbu mbele za BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na uvifungie juu ya vipande vya mabega ya kisibau yawe kama vito vya ukumbusho kwa wana wa Israeli. Haruni atavaa majina hayo mabegani mwake kama kumbukumbu mbele za bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utavitia vile vito viwili juu ya vipande vya mabegani vya hiyo naivera, viwe vito vya ukumbusho kwa ajili ya wana wa Israeli; naye Haruni atayachukua majina yao mbele za BWANA juu ya mabega yake mawili ili kuwa ukumbusho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mawe hayo mawili yatawekwa juu ya kanda za kizibao kama kumbukumbu ya makabila kumi na mawili ya Israeli. Hivyo Aroni atavaa majina hayo mabegani mwake mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu kama ukumbusho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha hivi vito viwili utavibandika penye vile vipande viwili vya mabegani vya kisibau kuwa vito vya kumkumbushia wana wa Isiraeli; hivyo ndivyo, Haroni atakavyoyachukua majina yao juu ya mabega yake mawili mbele ya Bwana, ayakumbuke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utavitia vile vito viwili juu ya vipande vya mabegani vya hiyo naivera, viwe vito vya ukumbusho kwa ajili ya wana wa Israeli; naye Haruni atayachukua majina yao mbele za BWANA juu ya mabega yake mawili ili kuwa ukumbusho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mawe hayo mawili yatawekwa juu ya mikaba ya kizibao kama vile ukumbusho wa makabila kumi na mawili ya Israeli. Hivyo Haruni atavaa majina hayo juu ya mabega yake mbele yangu mimi Yawe kama vile ukumbusho.