Exodus 28:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na mikufu miwili ya dhahabu safi iliyosokotwa kama kamba. Utaifunga mikufu hiyo kwenye hivyo vijalizo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na mikufu miwili ya dhahabu safi iliyosokotwa kama kamba, na uifunge mikufu hiyo kwenye vijalizo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mikufu miwili ya dhahabu safi; utaifanya iwe mfano wa kamba, ya kazi ya kusokotwa; nawe uitie ile mikufu ya kazi ya kusokotwa katika vile vijalizo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na mikufu miwili ya dhahabu safi iliyosokotwa kama kamba. Utaifunga mikufu hiyo kwenye hivyo vijalizo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na mikufu miwili ya dhahabu safi, iliyosokotwa kama kamba, na uifunge mikufu hiyo kwenye vijalizo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na mikufu miwili ya dhahabu safi iliyosokotwa kama kamba, na uifunge mikufu hiyo kwenye vijalizo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mikufu miwili ya dhahabu safi; utaifanya iwe mfano wa kamba, ya kazi ya kusokotwa; nawe uitie ile mikufu ya kazi ya kusokotwa katika vile vijalizo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na mikufu miwili ya dhahabu safi iliyosokotwa kama kamba. Utaifunga mikufu hiyo kwenye hivyo vijalizo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena tengeneza vikufu viwili vya dhahabu tupu vinavyofanana na kamba nyembamba kwa kuwa kama kamba zilizosokotwa. Kisha hivi vikufu vinavyofanana na kamba uvitie penye zile nguo zilizofumwa kwa nyuzi za dhahabu tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mikufu miwili ya dhahabu safi; utaifanya iwe mfano wa kamba, ya kazi ya kusokotwa; nawe uitie ile mikufu ya kazi ya kusokotwa katika vile vijalizo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na mikufu miwili ya zahabu safi iliyosokotwa kama kamba. Utafunga mikufu ile kwenye zile kingo.