Exodus 28:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kifuko hicho ambacho kimekunjwa kitakuwa cha mraba, sentimita 22.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kitakuwa cha mraba, chenye urefu wa shibiri moja na upana wa shibiri moja, na kikunjwe mara mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kitakuwa mraba, tena cha kukunjwa; urefu wake utakuwa shibiri moja, na upana wake shibiri moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kifuko hicho ambacho kimekunjwa kitakuwa cha mraba, sentimita 22.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kitakuwa cha mraba, nusu dhiraa kila upande, na kikunjwe mara mbili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kitakuwa cha mraba, chenye urefu wa shibiri moja na upana wa shibiri moja, na kikunjwe mara mbili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kitakuwa mraba, tena cha kukunjwa; urefu wake utakuwa shubiri moja, na upana wake shubiri moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kifuko hicho ambacho kimekunjwa kitakuwa cha mraba, sentimita 22.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pande zake zote ziwe sawasawa, tena kiwe kimekunjwa kuwa kuwili, urefu wake uwe shibiri, nao upana, wake uwe shibiri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kitakuwa mraba, tena cha kukunjwa; urefu wake utakuwa shibiri moja, na upana wake shibiri moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kifuko hicho ambacho kimekunjwa kitakuwa cha muraba, sentimetre makumi mbili na mbili.