Exodus 28:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kitapambwa kwa safu nne za mawe ya thamani: Safu ya kwanza itakuwa ya akiki, topazi na almasi nyekundu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha weka safu nne za vito vya thamani juu yake. Safu ya kwanza itakuwa na akiki, yakuti manjano na zabarajadi;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe ukijaze viweko vya vito, safu nne za vito; safu moja itakuwa ni akiki, na yakuti ya rangi ya manjano, na baharamani, hivi vitakuwa safu ya kwanza;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kitapambwa kwa safu nne za mawe ya thamani: safu ya kwanza itakuwa ya akiki, topazi na almasi nyekundu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha weka safu nne za vito vya thamani juu yake. Safu ya kwanza itakuwa ya akiki, yakuti manjano na zabarajadi;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha weka safu nne za vito vya thamani juu yake. Safu ya kwanza itakuwa na akiki, yakuti manjano na zabarajadi;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe ukijaze viweko vya vito, safu nne za vito; safu moja itakuwa ni akiki, na yakuti ya rangi ya manjano, na baharamani, hivi vitakuwa safu ya kwanza;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kitapambwa kwa safu nne za mawe ya thamani: Safu ya kwanza itakuwa ya akiki, topazi na almasi nyekundu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukijaze vito na kuviweka kuwa mistari minne ya vito ya kukijaza chote. Mstari wa kwanza: sardio, topazio na sumarato, ndio mstari wa kwanza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe ukijaze viweko vya vito, safu nne za vito; safu moja itakuwa ni akiki, na yakuti ya rangi ya manjano, na baharamani, hivi vitakuwa safu ya kwanza;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kitapambwa kwa mistari ine ya mawe ya bei kali. Mustari wa kwanza utakuwa wa akiki, topazi na almasi nyekundu;