Exodus 28:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utamshonea ndugu yako Aroni mavazi matakatifu ili apate kuonekana mwenye utukufu na mzuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mshonee Haruni ndugu yako mavazi matakatifu ili yampe ukuu na heshima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utamfanyia Haruni ndugu yako mavazi matakatifu, kwa utukufu na kwa uzuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utamshonea ndugu yako Aroni mavazi matakatifu ili apate kuonekana mwenye utukufu na mzuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mshonee Aroni ndugu yako mavazi matakatifu ili yampe ukuu na heshima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mshonee Haruni ndugu yako mavazi matakatifu ili yampe ukuu na heshima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utamfanyia Haruni ndugu yako mavazi matakatifu, kwa utukufu na kwa uzuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utamshonea ndugu yako Aroni mavazi matakatifu ili apate kuonekana mwenye utukufu na mzuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umtengenezee kaka yako Haroni mavazi matakatifu ya kumpatia macheo na utukufu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utamfanyia Haruni ndugu yako mavazi matakatifu, kwa utukufu na kwa uzuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utamushonea ndugu yako Haruni nguo takatifu kusudi apate kuonekana mwenye utukufu na muzuri.