Exodus 28:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na safu ya nne itakuwa ya zabarajadi, shohamu na yaspi; yote yatatiwa kwenye vijalizo vya dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na safu ya nne itakuwa na krisolitho, shohamu na yaspi. Yote yatiwe kwenye vijalizo vya dhahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na safu ya nne itakuwa ni zabarajadi, na shohamu, na yaspi; vito hivyo vitakazwa ndani ya dhahabu kwa kujaa mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na safu ya nne itakuwa ya zabarajadi, shohamu na yaspi; yote yatatiwa kwenye vijalizo vya dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na safu ya nne itakuwa ya krisolitho, shohamu na yaspi. Yote yatiwe kwenye vijalizo vya dhahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na safu ya nne itakuwa na krisolitho, shohamu na yaspi. Yote yatiwe kwenye vijalizo vya dhahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na safu ya nne itakuwa ni zabarajadi, shohamu na yaspi; vito hivyo vitakazwa ndani ya dhahabu kwa kujaa mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na safu ya nne itakuwa ya zabarajadi, shohamu na yaspi; yote yatatiwa kwenye vijalizo vya dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mstari wa nne: krisolito, oniki na berilo. Vitakapotiwa viwe vimezungushiwa vyote vikingo vya dhahabu vya kuvishika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na safu ya nne itakuwa ni zabarajadi, na shohamu, na yaspi; vito hivyo vitakazwa ndani ya dhahabu kwa kujaa mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na mustari wa ine utakuwa wa zabarajadi, shohamu na yaspi. Yote yatatiwa kwenye kingo za zahabu.