Exodus 28:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vilevile utatengeneza pete mbili za dhahabu kwa ajili ya kifuko cha kifuani na kuzitia kwenye ncha mbili za kifuko hicho,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tengeneza pete mbili za dhahabu kwa ajili yake, uzifungie kwenye pembe mbili za hicho kifuko cha kifuani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utie pete mbili za dhahabu katika kile kifuko cha kifuani, na kuzitia hizo pete mbili katika ncha mbili za kifuko cha kifuani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vilevile utatengeneza pete mbili za dhahabu kwa ajili ya kifuko cha kifuani na kuzitia kwenye ncha mbili za kifuko hicho,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tengeneza pete mbili za dhahabu kwa ajili yake uzifungie kwenye pembe mbili za kifuko cha kifuani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tengeneza pete mbili za dhahabu kwa ajili yake, uzifungie kwenye pembe mbili za hicho kifuko cha kifuani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utie pete mbili za dhahabu katika kile kifuko cha kifuani, na kuzitia hizo pete mbili katika ncha mbili za kifuko cha kifuani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vilevile utatengeneza pete mbili za dhahabu kwa ajili ya kifuko cha kifuani na kuzitia kwenye ncha mbili za kifuko hicho,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha utengeneze pete mbili kwa dhahabu za kutia penye kibati cha kifuani, kisha uzitie hizo pete mbili penye zile ncha mbili za juu za kibati cha kifuani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utie pete mbili za dhahabu katika kile kifuko cha kifuani, na kuzitia hizo pete mbili katika ncha mbili za kifuko cha kifuani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile utatengeneza pete mbili za zahabu kwa ajili ya kifuko cha kifua na kuzitia kwenye incha mbili za kifuko hicho,