Exodus 28:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na mikufu miwili ya dhahabu uifunge kwenye pete hizo za kifuko cha kifuani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Funga ile mikufu miwili ya dhahabu kwenye hizo pete zilizo katika pembe za hicho kifuko cha kifuani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utie hiyo mikufu miwili ya dhahabu iliyosokotwa katika zile pete mbili zilizo katika ncha za kifuko cha kifuani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na mikufu miwili ya dhahabu uifunge kwenye pete hizo za kifuko cha kifuani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Funga ile mikufu miwili ya dhahabu kwenye zile pete zilizo katika pembe za kifuko cha kifuani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Funga ile mikufu miwili ya dhahabu kwenye hizo pete zilizo katika pembe za hicho kifuko cha kifuani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utie hiyo mikufu miwili ya dhahabu iliyosokotwa katika zile pete mbili zilizo katika ncha za kifuko cha kifuani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na mikufu miwili ya dhahabu uifunge kwenye pete hizo za kifuko cha kifuani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha hivyo vikufu vya dhahabu vinavyofanana na kamba uvifunge katika hizo pete mbili, ulizozitia katika ncha za juu za kibati cha kifuani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utie hiyo mikufu miwili ya dhahabu iliyosokotwa katika zile pete mbili zilizo katika ncha za kifuko cha kifuani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na mikufu miwili ya zahabu uifunge kwenye pete zile za kifuko cha kifua.