Exodus 28:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zile ncha mbili za mkufu wa dhahabu utazishikamanisha kwenye vile vijalizo viwili vya kile kibati ili zishikamane na kipande cha mabegani cha kizibao upande wa mbele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nazo zile ncha nyingine za mkufu zifunge kwenye vile vijalizo viwili, na uziunganishe na vile vipande vya mabega vya kile kizibau upande wa mbele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ncha zile nyingine za hiyo mikufu miwili ya kusokotwa utazitia katika vile vijalizo viwili, na kuvitia katika vile vipande vya mabegani vya naivera upande wa mbele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zile ncha mbili za mkufu wa dhahabu utazishikamanisha kwenye vile vijalizo viwili vya kile kibati ili zishikamane na kipande cha mabegani cha kizibao upande wa mbele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
zile ncha nyingine mbili za mkufu wa dhahabu zishikamanishe kwenye vijalizo viwili vya kisibau upande wa mbele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nazo zile ncha nyingine za mkufu zifunge kwenye vile vijalizo viwili, na uzishikamanishe na vile vipande vya mabega vya kile kisibau upande wa mbele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ncha zile nyingine za hiyo mikufu miwili ya kusokotwa utazitia katika vile vijalizo viwili, na kuvitia katika vile vipande vya mabegani vya naivera upande wa mbele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zile ncha mbili za mkufu wa dhahabu utazishikamanisha kwenye vile vijalizo viwili vya kile kibati ili zishikamane na kipande cha mabegani cha kizibao upande wa mbele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha hiyo miisho mingine miwili ya hivi vikufu viwili vinavyofanana na kamba uifunge katika vile vikingo viwili vya dhahabu, kisha uvifunge penye vipande vya mabegani vya kisibau upande wake wa mbele.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ncha zile nyingine za hiyo mikufu miwili ya kusokotwa utazitia katika vile vijalizo viwili, na kuvitia katika vile vipande vya mabegani vya naivera upande wa mbele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zile incha mbili za mukufu wa zahabu utazishikamanisha kwenye zile kingo mbili za kile kifuko kusudi zishikamane na kipande cha mabega cha kizibao upande wa mbele.