Exodus 28:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia utatengeneza pete mbili za dhahabu na kuzitia kwenye ncha mbili za chini upande wa ndani wa kifuko cha kifuani karibu na kizibao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tengeneza pete mbili za dhahabu, uziunganishe kwenye pembe mbili za chini, upande wa ndani wa kifuko cha kifuani karibu na kizibau.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utafanya pete mbili za dhahabu, uzitie katika hizo ncha mbili za kifuko cha kifuani, katika ukingo wake, ulio upande wa naivera ulio ndani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia utatengeneza pete mbili za dhahabu na kuzitia kwenye ncha mbili za chini upande wa ndani wa kifuko cha kifuani karibu na kizibao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tengeneza pete mbili za dhahabu uzifunge kwenye ncha mbili za chini upande wa ndani wa kifuko cha kifuani karibu na kisibau.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tengeneza pete mbili za dhahabu, uzishikamanishe kwenye pembe mbili za chini, upande wa ndani wa kifuko cha kifuani karibu na kisibau.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utafanya pete mbili za dhahabu, uzitie katika hizo ncha mbili za kifuko cha kifuani, katika ukingo wake, ulio upande wa naivera ulio ndani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia utatengeneza pete mbili za dhahabu na kuzitia kwenye ncha mbili za chini upande wa ndani wa kifuko cha kifuani karibu na kizibao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha utengeneze tena pete mbili za dhahabu, uzitie penye zile ncha mbili za chini za kibati cha kifuani katika ukingo wake ulioko upande wa ndani unaokielekea kisibau.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utafanya pete mbili za dhahabu, uzitie katika hizo ncha mbili za kifuko cha kifuani, katika ukingo wake, ulio upande wa naivera ulio ndani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile utatengeneza pete mbili za zahabu na kuzitia kwenye incha mbili za chini upande wa ndani wa kifuko cha kifua karibu na kizibao.