Exodus 28:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Aroni anapoingia mahali patakatifu, atavaa kifuko cha kauli kimechorwa majina ya makabila ya wana wa Israeli; kwa namna hiyo mimi Mwenyezi-Mungu sitawasahau nyinyi kamwe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wakati wowote Haruni anapoingia Mahali Patakatifu, atakuwa na yale majina ya wana wa Israeli moyoni mwake juu ya kile kifuko cha kifuani cha uamuzi, kama kumbukumbu ya kudumu mbele za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Haruni atayachukua majina ya wana wa Israeli katika kile kifuko cha kifuani cha hukumu juu ya moyo wake, hapo atakapoingia ndani ya mahali patakatifu, kuwa ukumbusho mbele ya Bwana daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Aroni anapoingia mahali patakatifu, atavaa kifuko cha kauli kimechorwa majina ya makabila ya wana wa Israeli; kwa namna hiyo mimi Mwenyezi-Mungu sitawasahau nyinyi kamwe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wakati wo wote Aroni aingiapo Mahali Patakatifu, atakuwa na yale majina ya wana wa Israeli moyoni mwake juu ya kile kifuko cha kifuani cha uamuzi kama kumbukumbu ya kudumu mbele za BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wakati wowote Haruni aingiapo Mahali Patakatifu, atakuwa na yale majina ya wana wa Israeli moyoni mwake juu ya kile kifuko cha kifuani cha uamuzi kama kumbukumbu ya kudumu mbele za bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Haruni atayachukua majina ya wana wa Israeli katika kile kifuko cha kifuani cha hukumu juu ya moyo wake, hapo atakapoingia ndani ya mahali patakatifu, kuwa ukumbusho mbele za BWANA daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Aroni anapoingia mahali patakatifu, atavaa kifuko cha kauli kimechorwa majina ya makabila ya wana wa Israeli; kwa namna hiyo mimi Mwenyezi-Mungu sitawasahau nyinyi kamwe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ndivyo, Haroni atakavyoyachukua majina ya wanawe Isiraeli katika kibati cha maamuzi cha kifuani juu ya moyo wake atakapoingia Patakatifu, yakumbukwe usoni pa Bwana siku zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Haruni atayachukua majina ya wana wa Israeli katika kile kifuko cha kifuani cha hukumu juu ya moyo wake, hapo atakapoingia ndani ya mahali patakatifu, kuwa ukumbusho mbele ya BWANA daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haruni anapoingia Pahali Patakatifu, atavaa kifuko cha shauri ambacho juu yake kulichorwa majina ya makabila ya wana wa Israeli. Kwa namna hiyo mimi Yawe sitawasahau ninyi hata kidogo.