Exodus 28:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Utashona kanzu ya kuvalia kizibao kwa sufu ya rangi ya buluu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Shona joho la kizibau lote kwa kitambaa cha rangi ya buluu tupu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe fanya hiyo joho ya naivera ya rangi ya samawi yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Utashona kanzu ya kuvalia kizibao kwa sufu ya rangi ya buluu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Shona kanzu ya kuvalia kisibau kwa kitambaa cha buluu tupu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Shona joho la kisibau lote kwa kitambaa cha rangi ya buluu tupu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe fanya hiyo joho ya naivera ya rangi ya buluu yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Utashona kanzu ya kuvalia kizibao kwa sufu ya rangi ya buluu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kanzu ikipasayo hicho kisibau uitengeneze yote nzima kwa nguo nyeusi ya kifalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe fanya hiyo joho ya naivera ya rangi ya samawi yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utashona kanzu ya kuvalia chini ya kizibao ikiwa yote ya rangi ya samawi.