Exodus 28:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Itakuwa na nafasi ya kupitishia kichwa katikati, na nafasi hiyo itazungushiwa utepe uliofumwa ili isichanike.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na katikati uweke nafasi ya kuingizia kichwa. Kutakuwa na utepe uliofumwa, unaofanana na ukosi kuizunguka nafasi hiyo, ili isichanike.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nayo itakuwa na tundu katikati yake kwa kupitisha kichwa; itakuwa na utepe wa kazi ya kusokotwa kuzunguka hilo tundu lake, mfano wa tundu lililo katika kanzu ya chuma, ili lisipasuke.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Itakuwa na nafasi ya kupitishia kichwa katikati, na nafasi hiyo itazungushiwa utepe uliofumwa ili isichanike.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
katikati weka nafasi ya kuingizia kichwa. Kutakuwa na utepe unaofanana na ukosi uliozungushwa kwenye nafasi hiyo ya shingo, ili isichanike.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na katikati uweke nafasi ya kuingizia kichwa. Kutakuwa na utepe uliofumwa, unaofanana na ukosi kuizunguka nafasi hiyo, ili isichanike.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nayo itakuwa na tundu katikati yake kwa kupitisha kichwa; itakuwa na utepe wa kazi ya kusokotwa kuzunguka hilo tundu lake, mfano wa tundu lililo katika kanzu ya chuma, ili lisipasuke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Itakuwa na nafasi ya kupitishia kichwa katikati, na nafasi hiyo itazungushiwa utepe uliofumwa ili isichanike.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upande wake wa kichwani iwe na tundu katikati; hili tundu lizungukwe na taraza iliyotengenezwa na mfuma nguo; hili tundu lake liwe kama tundu la shati ya chuma ya mpiga vita, isipasuke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nayo itakuwa na tundu katikati yake kwa kupitisha kichwa; itakuwa na utepe wa kazi ya kusokotwa kuzunguka hilo tundu lake, mfano wa tundu lililo katika kanzu ya chuma, ili lisipasuke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kanzu ile itakuwa na nafasi ya kupitishia kichwa katikati na nafasi hiyo itazungushiwa utepe uliofumwa kusudi isichanike.