Exodus 28:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwenye upindo wake wa chini, kuzunguka pande zote, itapambwa kwa makomamanga ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, kutakuwa pia na njuga za dhahabu kati ya hayo makomamanga:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tengeneza makomamanga ya nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu kuzunguka pindo la hilo joho, na uweke pia vikengele vya dhahabu kati ya hayo makomamanga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe katika pindo zake utatia makomamanga ya rangi ya samawi, na ya rangi ya zambarau, na ya rangi nyekundu, kuzunguka pindo zake kotekote; na njuga za dhahabu kati ya hayo makomamanga pande zote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwenye upindo wake wa chini, kuzunguka pande zote, itapambwa kwa makomamanga ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, kutakuwa pia na njuga za dhahabu kati ya hayo makomamanga:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tengeneza makomamanga ya nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu kuzunguka pindo la hilo joho, weka pia vikengele vya dhahabu kati ya hayo makomamanga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tengeneza makomamanga ya nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu kuzunguka pindo la hilo joho, na uweke pia vikengele vya dhahabu kati ya hayo makomamanga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe katika pindo zake utatia makomamanga ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, kuzunguka pindo zake kotekote; na njuga za dhahabu kati ya hayo makomamanga pande zote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwenye upindo wake wa chini, kuzunguka pande zote, itapambwa kwa makomamanga ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, kutakuwa pia na njuga za dhahabu kati ya hayo makomamanga:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Penye upindo wake wa chini utatia komamanga za nguo za kifalme nyeusi na nyekundu kuuzunguka upindo wake wa chini po pote, tena katikati yao utie po pote vikengele vidogo vya dhahabu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe katika pindo zake utatia makomamanga ya rangi ya samawi, na ya rangi ya zambarau, na ya rangi nyekundu, kuzunguka pindo zake kotekote; na njuga za dhahabu kati ya hayo makomamanga pande zote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwenye upindo wake wa chini, kuzunguka pande zote, itapambwa kwa makomamanga ya rangi ya samawi, zambarau na nyekundu. Kutakuwa vilevile kengele za zahabu kati ya hayo makomamanga: