Exodus 28:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Komamanga, njuga, komamanga, njuga, kuizunguka kanzu yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo vikengele vya dhahabu na makomamanga vitapishana kuzunguka upindo wa joho lile.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
njuga ya dhahabu na komamanga, njuga ya dhahabu na komamanga, katika pindo za joho kuizunguka pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
komamanga, njuga, komamanga, njuga, kuizunguka kanzu yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo vikengele vya dhahabu na makomamanga vitapishana kuzunguka pindo la kanzu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo vikengele vya dhahabu na makomamanga vitapishana kuzunguka upindo wa joho lile.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
njuga ya dhahabu na komamanga, katika pindo za joho kuizunguka pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Komamanga, njuga, komamanga, njuga, kuizunguka kanzu yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
viwe hivyo: kikengele cha dhahabu na komamanga, tena kikengele cha dhahabu na komamanga, vivyo hivyo po pote kuuzunguka upindo wote wa chini wa kanzu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
njuga ya dhahabu na komamanga, njuga ya dhahabu na komamanga, katika pindo za joho kuizunguka pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
komamanga, kengele, komamanga, kengele, kuizunguka kanzu yote.