Exodus 28:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kisha, utatengeneza kibati cha dhahabu safi na kuchora juu yake kama mtu achoravyo mhuri, ‘Wakfu kwa Mwenyezi-Mungu.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tengeneza bamba la dhahabu safi na uchore juu yake maneno haya kama vile muhuri huchorwa: Mtakatifu kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe fanya bamba la dhahabu safi na kuchora juu yake, mfano wa machoro ya muhuri, MTAKATIFU KWA Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kisha, utatengeneza kibati cha dhahabu safi na kuchora juu yake kama mtu achoravyo mhuri, ‘Wakfu kwa Mwenyezi-Mungu.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tengeneza bamba la dhahabu safi na uchore kama muhuri juu yake maneno haya: MTAKATIFU KWA BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tengeneza bamba la dhahabu safi na uchore juu yake maneno haya kama vile muhuri huchorwa: mtakatifu kwa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe fanya bamba la dhahabu safi na kuchora juu yake, mfano wa michoro ya mihuri, MTAKATIFU KWA BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kisha, utatengeneza kibati cha dhahabu safi na kuchora juu yake kama mtu achoravyo mhuri, ‘Wakfu kwa Mwenyezi-Mungu.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha utengeneze bamba la dhahabu tupu la pajini, uchore humo kuwa ama machoro ya muhuri: Mtakatifu wa Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe fanya bamba la dhahabu safi na kuchora juu yake, mfano wa machoro ya muhuri, MTAKATIFU KWA BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, utatengeneza bamba la zahabu safi na kuchora juu yake maneno haya kama vile mutu anavyochora muhuri: Takatifu kwa ajili ya Yawe.