Exodus 28:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kibati hicho utakifunga mbele ya kilemba kwa ukanda wa buluu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lifunge hilo bamba kwa kamba ya buluu kwenye kilemba, nalo ni lazima liwe mbele ya kilemba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe ulitie hilo bamba katika ukanda wa rangi ya samawi, nalo litakuwa katika kile kilemba; litakuwa upande wa mbele wa kile kilemba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kibati hicho utakifunga mbele ya kilemba kwa ukanda wa buluu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lifunge hilo bamba kwa kamba ya buluu kwenye kilemba, nalo ni lazima liwe mbele ya kilemba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lifunge hilo bamba kwa kamba ya buluu kwenye kilemba, nalo ni lazima liwe mbele ya kilemba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe ulitie hilo bamba katika ukanda wa rangi ya buluu, nalo litakuwa katika kile kilemba; litakuwa upande wa mbele wa kile kilemba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kibati hicho utakifunga mbele ya kilemba kwa ukanda wa buluu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ulifunge kwa kamba ya nguo nyeusi ya kifalme katika kilemba, kiwe mbele ya kilemba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe ulitie hilo bamba katika ukanda wa rangi ya samawi, nalo litakuwa katika kile kilemba; litakuwa upande wa mbele wa kile kilemba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utalifungia bamba lile mbele ya kofia kwa mukaba wa rangi ya samawi.