Exodus 28:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utamtengenezea Aroni joho iliyonakshiwa kwa kitani safi na kumfumia kilemba cha kitani safi na ukanda ulionakshiwa vizuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Fuma koti la kitani safi na ufanye kilemba cha kitani safi. Mshipi uwe ni kazi ya mtarizi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hiyo kanzu utaifuma ya kitani nzuri ya kazi ya urembo, ufanye na kilemba cha nguo ya kitani nzuri, nawe utafanya mshipi wa kazi ya mwenye kutia taraza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utamtengenezea Aroni joho iliyonakshiwa kwa kitani safi na kumfumia kilemba cha kitani safi na ukanda ulionakshiwa vizuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Fuma koti la kitani safi na ufanye kilemba cha kitani safi. Mshipi uwe ni kazi ya mtarizi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Fuma koti la kitani safi na ufanye kilemba cha kitani safi. Mshipi uwe ni kazi ya mtarizi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hiyo kanzu utaifuma ya kitani nzuri ya kazi ya urembo, ufanye na kilemba cha nguo ya kitani nzuri, nawe utafanya mshipi wenye kunakishiwa vizuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utamtengenezea Aroni joho iliyonakshiwa kwa kitani safi na kumfumia kilemba cha kitani safi na ukanda ulionakshiwa vizuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena na ufume shati ya bafta kuwa kama nguo ya kunguru, tena utengeneze kilemba cha nguo ya bafta, utengeneze nao mshipi, uwe kazi ya fundi ajuaye kufuma kwa nyuzi za rangi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hiyo kanzu utaifuma ya kitani nzuri ya kazi ya urembo, ufanye na kilemba cha nguo ya kitani nzuri, nawe utafanya mshipi wa kazi ya mwenye kutia taraza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utamutengenezea Haruni kanzu iliyochorwa kwa kitani safi na kumufumia kofia ya kitani safi na mukaba uliopambwa vizuri.