Exodus 28:40 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Utawatengenezea wana wa Aroni majoho, mishipi na kofia ili waonekane wana utukufu na uzuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watengenezee wana wa Haruni makoti, mishipi na kofia, ili kuwapa ukuu na heshima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha utafanya kanzu kwa ajili ya wana wa Haruni, nawe wafanyie mishipi, wafanyie na kofia kwa utukufu na uzuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Utawatengenezea wana wa Aroni majoho, mishipi na kofia ili waonekane wana utukufu na uzuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watengenezee wana wa Aroni makoti, mishipi na kofia, ili kuwapa ukuu na heshima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watengenezee wana wa Haruni makoti, mishipi na kofia, ili kuwapa ukuu na heshima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha utafanya kanzu kwa ajili ya wana wa Haruni, nawe wafanyie mishipi, wafanyie na kofia kwa utukufu na uzuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Utawatengenezea wana wa Aroni majoho, mishipi na kofia ili waonekane wana utukufu na uzuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Haroni uwatengenezee shati, tena uwatengenezee mishipi, tena uwatengenezee vilemba virefu kuwapatia macheo na utukufu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha utafanya kanzu kwa ajili ya wana wa Haruni, nawe wafanyie mishipi, wafanyie na kofia kwa utukufu na uzuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utawatengenezea wana wa Haruni kanzu, mikaba na kofia kusudi waonekane wana utukufu na uzuri.