Exodus 28:42 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vilevile utawashonea suruali za kitani zitakazowafunika tangu kiunoni mpaka mapajani, ili wafunike uchi wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Watengenezee nguo za ndani za kitani zitakazofunika mwili, kutoka kiunoni hadi mapajani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe wafanyie suruali za nguo ya kitani, ili kufunika tupu ya miili yao; suruali hizo zitafika tangu kiunoni hata mapajani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vilevile utawashonea suruali za kitani zitakazowafunika tangu kiunoni mpaka mapajani, ili wafunike uchi wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Watengenezee nguo za ndani za kitani zitakazofunika mwili, kutoka kiunoni hadi mapajani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Watengenezee nguo za ndani za kitani zitakazofunika mwili, kutoka kiunoni hadi mapajani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe wafanyie suruali za nguo ya kitani, ili kufunika tupu ya miili yao; suruali hizo zitafika tangu kiunoni hadi mapajani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vilevile utawashonea suruali za kitani zitakazowafunika tangu kiunoni mpaka mapajani, ili wafunike uchi wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watengenezee nazo suruali nyeupe za ukonge za kuzifunika nyama za miili zitiazo soni, zikitoka viunoni na kufika magotini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe wafanyie suruali za nguo ya kitani, ili kufunika tupu ya miili yao; suruali hizo zitafika tangu kiunoni hata mapajani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile utawashonea makapitula za kitani zitakazowafunika tangu kwenye kiuno mpaka kwenye mapaja, kusudi wafunike uchi wao.