Exodus 28:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao mafundi watatumia sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na nyuzi za dhahabu na kitani safi iliyosokotwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waambie watumie dhahabu na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu pamoja na kitani safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wataitwaa dhahabu, na nguo ya rangi ya samawi, na ya rangi ya zambarau, na ya rangi nyekundu, na nguo ya kitani nzuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao mafundi watatumia sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na nyuzi za dhahabu na kitani safi iliyosokotwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waambie watumie dhahabu na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu pamoja na kitani safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waambie watumie dhahabu na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu pamoja na kitani safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wataitwaa dhahabu, na nguo ya rangi ya buluu, zambarau, na nyekundu na nguo ya kitani nzuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao mafundi watatumia sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na nyuzi za dhahabu na kitani safi iliyosokotwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wale mafundi na watumie nguo za kifalme nyeusi na nyekundu na nguo za bafta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wataitwaa dhahabu, na nguo ya rangi ya samawi, na ya rangi ya zambarau, na ya rangi nyekundu, na nguo ya kitani nzuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao wafundi watatumia sufu ya rangi ya samawi, zambarau na nyekundu, na nyuzi za zahabu na kitani safi iliyosokotwa.