Exodus 28:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kitakuwa na kamba mbili za kukifungia mabegani zilizoshonewa kwenye ncha zake mbili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kitakuwa na vipande viwili vya mabegani vilivyoshikizwa kwenye pembe zake mbili ili kufungia kizibau.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Itakuwa na vipande viwili vya mabegani, vilivyoungana kwenye ncha zake mbili; ili ipate kuunganywa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kitakuwa na kamba mbili za kukifungia mabegani zilizoshonewa kwenye ncha zake mbili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kitakuwa na vipande viwili vya mabegani vilivyoshikizwa kwenye pembe zake mbili ili kufungia kisibau.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kitakuwa na vipande viwili vya mabegani vilivyoshikizwa kwenye pembe zake mbili ili kufungia kisibau.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Itakuwa na vipande viwili vya mabegani, vilivyoungana kwenye ncha zake mbili; ili ipate kuunganishwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kitakuwa na kamba mbili za kukifungia mabegani zilizoshonewa kwenye ncha zake mbili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kiwe chenye vipande viwili vinavyounganika mabegani, penye ncha zake mbili ndipo kifungike.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Itakuwa na vipande viwili vya mabegani, vilivyoungana kwenye ncha zake mbili; ili ipate kuunganywa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kitakuwa kamba mbili za kukifungia juu ya mabega zilizoshonewa kwenye incha zake mbili.